Pages

Tuesday, 9 July 2013

YOUR SAY: Gavana is failing the County

Mruttu ni mtu anatushangaza....ttc imekwama kwa sababu governor haelewi siasa na hafahamu masilahi ya watu wa taita taveta. 
Gavana John Mruttu (R) with Vision 2030 Director General Mugo Kibati

Kipofu haonyeshwi njia huongozo, kiziwi haambiwi nenda huvutwa mkono. 
Gavana Mruttu with Taita Taveta ACK Bishop Mwaluda (L) 

Nani ataongoza Mruttu? Na ni nani atashika yeye mkono? Kiburi hakisaidii. It's this simple

BY: Linus Nyambu - Blogger at Facebook

No comments:

Post a Comment